HABARI KIMATAIFA
HABARI KITAIFA
Performance
‹
›
Cute
My Place
MICHEZO
Racing
Videos
Home
»
HABARI KITAIFA
»
MAKALA
» MALKIA WA DOM NA KIWEWE ALICHOWATIA WANA MITANDAO YA KIJAMII DODOMA........HATARI TUPUUU!!!!
Tagged with: HABARI KITAIFA MAKALA
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Home
/
HABARI KITAIFA
/
MAKALA
/
MALKIA WA DOM NA KIWEWE ALICHOWATIA WANA MITANDAO YA KIJAMII DODOMA........HATARI TUPUUU!!!!
MALKIA WA DOM NA KIWEWE ALICHOWATIA WANA MITANDAO YA KIJAMII DODOMA........HATARI TUPUUU!!!!
Posted by Unknown 12/30/2015 0
Ni jambo la kawaida kuziona picha za aina tofauti katika mitandao ya kijamii kama Instagram, Tweeter na hata FB, na haya yote hupatikana katika makundi { Magroup y aMitandao hii, ukikutana na makundi ya kishenzi kwa bahati mbaya utakutana na post nyingi za "NAOMBENI MNITOE HUMU" lakini mwisho ukisha yazoea unaanza kuyasoma na kucheka kwani watu hutumia akili zao za usiku kuzifanya shughuli za mchana.
lakini pia kuna watu wanao weka mijadala ya hatari hata kuhisi unachati na jini au jambazi lakini kumbe ni mtu mstaarabu au ukadhani unachati na mtu wa mungu au mstaarabu kumbe na shetani, majina nayo yamekuwa ni kigezo cha kupost lugha unayojiskia kama ukitumia jina lisilo lako, sasa watsapp kuna kituko kinachoendelea ambacho hata Mwajuma Ismail anakijua na kimemkuta lakini kwakuwa nae ni SHIDA ameshindana nacho na kukishinda story iko hivi!!!
Ukizunguka
kwenye makundi mengi ya watsap vijana wa mkoa wa dodoma hususani wanao
jihusisha na masuala ya burudani story kubwa ni MALKIA WA DOM NDIO NANI?
wakijaribu kuweka mada ambazo zikiijadili account ya instagram ambayo
inatumia jina la MALKIA WA DOM.
account hii imekuwa gumzo kutokana na mada pamoja na picha ambazo
huzipost mmiliki wa account hii ambaye hajulikani mpaka sasa lakini
kinacho endelea ni kila mtu kutaja mtu anae muhisi kuwa ndiye mmiliki wa
account hiyo.
Account hii imefanikiwa kuwa maarufu kwa muda mfupi kutokana na mambo
ambayo hupostiwa humo kugeuka kuwa gumzo mitandaoni huku baadhi ya watu
wengine huishia kutukanana kwa kuyavulia maji yasiyo wahusu.
SASA BASI unaambiwa usiombe upostiwe au uonekane sura yako kwenye
account hii ni balaa moja unaweza ukasifiwa au ukaliona joto lajiwe, ila
kwa kukandiwa ndio mara nyingi zaidi kwani mmiliki wa account hiyo
fomula yake inaonekana kuwa ni lolote lililo kaa ovyo kwenye tasnia
mbalimbali mkoani dodoma. huku zaidi akidili na wanamuziki pamoja na
waigizaji na wengine wanao shabiana kwenye hayo mambo.
Wapo wengi waliloliona joto la jiwe akiwemo ONESIX msanii wa muziki
akituhumiwa kupiga show mbaya kwenye tamasha la Dodoma Festival 2015
lililo andaliwa na kituo cha radio Dodoma Fm radio, Mambo si mambo ndipo
msanii wakuitwa RHODA nae alikumbana na jinamizi hilo kwa kuambiwa
hajui kuimba na kusababisha mpaka kijana huyo kutangaza kuacha kuimba
tena baada ya hayo kutokea ndipo mtangazaji wa radio toka Rasi fm alipo
ingilia kati na kuanza kutoa matusi kwa mtu ambaye hata hamjui kwenye
mitandao ya kijamii eti anamfahamu uyo mmliki wa account hiyo lakini
mpaka sasa hakuna jibu lolote alilolitoa ni sawa alikuwa anatwanga maji
kwenye kinu.
jinamizi hilo pia lilitua kwa muigizaji wa bongo movie kwakushutumiwa
kuwa alipost picha ya show ya dodoma festival wakati muda umepita huku
waandaji wa show hiyo wakila dongo kwa kumwita rachel ni super star
wakati hata jamatini hajulikani duuuh ni balaa.
hayo ni baadhi kati ya mambo mengi ambayo huandikwa kwenye account hiyo.
Account hiyo imesababisha baadhi ya watu kutoelewana kama Sonnatha Nduka toka nyemo fm VS Onesix, huku Raph tz VS Dizzy swags.
wapo baadhi ya watu wametokea kuipongeza account hiyo kwa kuandika
ukweli juu ya madudu yanayoendelea kwenye jamii na tasnia mbalimbli
dodoma huku wengine wakidai inadhalilisha watu kwani hutumia majina ya
watu bila taarifa pia hutumia picha za watu bila kuwajulisha kitu
ambacho ni kosa kubwa kisheria.
Ukweli ni kwamba hakuna anae penda kukosolewa kwa mabaya bali watu
wanapenda kusifiwa muda wote sasa basi anae penda kukosolewa hawezi
kuichukia account hiyo ya Malkia WAdom kwani ipo kwa lengo la
kuwarekebisha watu wafanye vitu vizuri lakini sio sawa kutumia majina ya watu kwa story za uongo au zisizo na faida kwa jamii inayopelekewa ujumbe husika.
pia kwa ushauri tu, mmiliki wa aacount hiyo uwe unajitahidi kutumia lugha nzuri
kidogo ili wenzako wasikuchie maana lugha yako tata
husababisha matusi kumwagika pia kitendo cha kutumia picha za watu
bila taarifa hilo nalo ni kosa kisheria.
Na kumbuka tu kama ukiwa na lengo zuri katika account hii basi tumia lugha za maana ili hata mamlaka za sheria ikiwemo mamlaka ya mawasiliano {TCRA} Isiamue kukutafuta na kukuchukulia hatua za kisheria pamoja na wadau wengine walioonja Joto la jiwe kukufahamu na ukaingia anga zao maana sipatii picha kwa kitakachotokea mfano watu kama SONNATA ABDALA, DIZZY SWAGS na wengine ambao wameambiwa ni wahusika wa aacount hiyo watakumaliza ikiwa hawahusiki na hilo na Vipi kuhusu Kichuna na One Six?!!!!.
AHAHAHAHAHA!!!!! HII MITANDAO BWANA MI NITAINGIA KESHO KWA LEO NIACHE NIJIPUMZISHE KWANZA!!!!!
ni kwa hisani ya ngelangelanews.blogspot.com
Tagged with: HABARI KITAIFA MAKALA
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments
Post a Comment