DYSMINORRHEA {MAUMIVU MAKALI KIPINDI CHA HEDHI KWA AKINA MAMA}
Ni ugonjwa ambao huwapata akina mama na husababisha kupata maumivu makali wakati wa hethi au kupata hethi kwa shida.
Inasemekana kuwa robo tatu ya wanawake wanapata maumivu makali wakati wa hethi,moja ya tano ya wanawake hao hupata maumivu makali kiasi cha kushindwa kufanya kazi zao za kawaida. Kwa kawaida maumivu haya hujitokeza masaa 24 kabla ya hethi au siku chache za mwanzo wakati akiwa kwenye hethi.
DALILI
Magonjwa yanayowasumbua wanawake yapo mengi sana na magonjwa haya yana dalili nyingi ambazo zinakadiriwa kufikia150, lakini kwa kuwa leo tutaangazia macho zaidi dalili za dysminorrhea ambapo ya kwanza ni maumivu makali chini ya tumbo na kujisikia vibaya kabla au wakati wa hethi, maumivu haya yanaweza kujumuisha dalili zifuatazo, kuumwa na kichwa au mwili mzima kuuma, matiti kuwa na hisia za maumivu, maumivu ya tumbo chini ya kitovu, mifupa kuuma na aswa ya nyonga mifupa ya mapaja kubana, kichefuchefu na saa zingine humsababishia kutapika, kuharisha au kukosa choo, damu utoka ikiwa imeganda au kama vijinyama vidogovidogo uonekana kwenye damu.
Kuna aina mbili za dysminorrhea ambazo ni
• Dysminorrhea ya awali{primary dysminorrhea}
• Dysminorrhea ya pili{secondary dysminorrhea}
DYSMINORRHEA YA AWALI Matatizo ya akina mama pia huitwa menarche, huwatokea wasichana wakati wa kupevuka miaka miwili kabla ya hethi ya kwanza.
Kupevuka kwa yai huambatana na maumivu makali sana. Uongezekaji wa tindikali ya prostaglandins ambao hutokea siku chache baada ya kupevuka kwa yai hufanya misuli ya tumbo la mama kusinyaa.Kusinyaa huko kwa tumbo huingiliana na mzunguko wa damu na hiyo kupata maumivu makali.
Maumivu haya yanaweza kupungua pale anapofikisha miaka 25 na kuendelea mpaka anapotimiza umri wa miaka 30.Lakini katika kipindi hicho akijifungua mtoto maumivu hupungua kwa kiasi kikubwa sana na mara nyingi kutokutokea kwa maumivu kabisa. Kutokana na utendaji wa mwili huongeza au kupunguza maumivu, haswa pale seli zinapokuwa
zimeharibika.uruhusu uzalishaji wa kemikali kama bradykinins na prostaglandins,usisahau kuwa prostaglandins huzuia huzalishaji wa gastric acid na inaweza pelekea kuvurugika kwa matibabu ya vidonda vya tumbo. Unapaswa kujuakuwa kuna ain mbili za prostaglandins yaani thromboxane na prostacyclin. Thromboxane husababisha damu kuganda wakati prostacyclin ipo kinyume.
DYSMINORRHEA 1 1
Hii huwatokea wanawake ambao hawakupata maumivu katika hethi yao ya awali. Hali hii huwadhuru zaidi wanawake wenye miaka 20-40, hii husababishwa na uyoga wa kizazi yaani fibroids ambayo ni maambukizi sugu ya via vya uzazi{PID},endometriosis,S.T.D au ovarian cyst na viwambo vya mpango wa uzazi vinavyoingizwa kwenye uzazi{hapa tunazungumza juu ya vitanzi,njiti na vidonge vya mpango wa uzazi ambavyo ndani yake kuna vichoheo vya progesterone vyenye madhara mengi yakiwapo magonjwa ya moyo nk.
wanawake wenye afya njema na kinga zakutosha wanauwezekano mdogo sana wa kupatwa na matatizo haya ya hethi. Mzunguko mbovu wa hethi huashiria afya ya mama. Kwa kawaida haya ni matokeo ya upungufu wa viini lishe au sumu ndizo zinazo changia tatizo hili kwa wingi,kuziba choo,vidonge, na upungufu wa madini,kemikali, misongo ya mawazo na uvaaji usiozingatia kanuni za afya.
Kupitia vishimo vilivyoko kwenye ngozi vya mwili ufyonza vitu viliko hewani na kutumika kama virutubisho,hivyo basi ngozi hutumika kama mapafu ya tatu. Basi ni vyema ngozi ikaachwa wazi ili iweze kugusana na hewa na kukupa kusudi halisi la Muumba.
Mtu anayependa kuvaa nguo nzito na za kubana sana huzuia hutolewaji wa hewa chafu na upokelewaji wa hewa safi mwilini ambapo sasa uchafu {impurities}ufyonzwa tena na ngozi kupitia kwenye vijitundu na kuichafua damu ambapo mwili hukosa nguvu na hata uwezo wa kupambana na maradhi hupungua.
Upumuaji mdogo unasababishwa na uvaaji wa nguo za kubana sana inasababisha damu kuchafuka kwa sababu inakosa hewa inayohitajika. Matokeo yake uwezo wetu wa kufanya kazi kwa uhakika unapungua, na uyeyushaji wa chakula hauwi sawasawa.
Kuna hitaji la matengenezo ya mavazi miongoni mwa akina mama na akina dada. Yapo makosa mengi sana katika mitindo ya mavazi.
Mitindo hii huathiri afya za akina mama na kwa hiyo lipo kosa la kuvaa skin tight au wholebones kubana viuno vyao .
Hali hii husababisha mkandamizo wa moyo,ini na mapafu.Mfumo mzima wa kiafya hutegemea afya bora ya via vya hupumuaji.
Maelfu ya wanawake wameharibu maumbile yao na kujiletea magonjwa na katika juhudi zao hizi hujiondolea afya ya asili na kujiletea afya isiyo ya asili na yenye madhara kwao.
Na katika juhudi zao za kusahihisha kile kisicho cha asili na kukileta kwenye ubinadamu, wanaziharibu kazi zao za asili na kuziacha zikiwa mbovu zaidi na zaidi.
SUMU
Madini ya zebaki yana sumu kali mno. Sumu hiyo inaweza kusababisha madhara kwa uti wa mgongo hata yakiwepo katika viwango vidogo sana.
Sumu hii hupatikana kwenye vyakula, hasa samaki na pia hupatikana katika miili ya binadamu na wanyama, na huathiri vibaya zaidi watoto kabla hawajazaliwa na wakiwa wachanga.
Madini haya husafiri masafa marefu hewani katika nchi mbalimbali na yameathiri vyakula kote ulimwenguni na kuzua hatari kubwa.
Zebaki huwekwa kwenye madawa yanayotumika kupanga uzazi na nyingine huwekwa kwenye madawa ya nywele.
Zebaki inapoigusa ngozi na kuingia mwilini uhudhuru mwili kwa kiasi kikubwa sana.
Dalili ya mwanamke aliye adhiriwa na zebaki ni kama ifuatavyo
Macho huwa mekundu,kuota ndevu na matiti kulala akiwa bado ana umri mdogo.
Huziba cervix{mlango wa tumbo la uzazi}na hivyo kumfanya mgumba au ajapopata ujauzito wakati wa kujifungua mlango wa tumbo la uzazi huchelewa kufunguka na kumpelekea kufanyiwa oparesheni .
Na pia inaweza kuifanya cervix kulegea na kusababisha mimba kutoka ikiwa na miezi 5-7.
Matatizo ya miguu kuwaka moto na kwasababu dawa hizi hutengenezwa kutumia progesterone hupelekea ugonjwa wa moyo {cardiomyopathy}kadio-mayapath.
Maozea yanayopatikana kutokana na zebaki husababisha figo kufeli na bandama kuwa hatarini
Magonjwa mengi hufunguliwa mlango kwani viungo hivyo muhimu hupelekea kuzalishwa damu kidogo hivyo kinga zinakuwa chache.
MARCURY{ZEBAKI}
Hiki ni kimiminika kinacho tumika kuoshea na kutengenezea vyuma vya aina zote. Kinapoingia mwilini madhara yake ni makubwa sana kwani husababisha maozea mwilini ambayo ndio maficho ya bacteria.
Katika sumu zilizoko duniani zebaki ni ya pili kwa madhara ikifuatiwa na plutonium. Kumbuka kuwa zebaki kiasi kidogo sana kama kilichopo kwenye kipima joto {thermometer} inaweza kuchafua maji yalioko kwenye ziwa dogo.
Sumu hizi zilizoko kwenye zebaki ziahusanishwa moja kwa moja na magonjwa ya mtindio wa ubongo.na hivyo kudhuru mfumo mzima wa ufahamu kama vile autism,alzheimers,multiple sclerosis,fibromyalgia{yaani kuwaka moto kwenye miguu na mikono,uchovu na arthritis.
Adhari za matumizi madogo ya zebaki yanaweza yasionekane mapema lakini baadae sana sumu hizi zinaweza kuleta madhara makubwa sana:
Dalili zake ni kama ifutavyo:
Miguu na mikono kuhisi kama inawaka moto,kupoteza usikivu,kuparalaizi,sumu kwenye figo na hatima ya yote ni kifo kisichokuwa cha lazima.
Mtoto aliyedhurika akiwa tumboni mwa mama yake anaweza zaliwa akiwa salama na baadae dalili hizi hutokeza,yaani kushindwa kutembea na kushindwa kuzungumza.
Kwa sababu ya athari za chini kwa chini kwa mtoto tiba yake huwa ni ngumu sana kwa sababu inakuwa imechelewa. Zebaki,kwinini na madawa ya kilimo pamoja na dawa za kuulia wadudu yanaleta madhara kiasi kwamba ni siku ya kiama tu ndio itakayoamua.
Maandalizi na dawa za kilimo husababisha chembe chembe za sumu kuingia na chembe hizo zisipotolewa huendelea kuleta madhara makubwa na sumu hizo zimeua mamilioni ya watu na kuwaacha wengine wakiteseka duniani.tunaweza kuwa salama bila michanganyiko hiyo yenye sumu.
Wapo watu wengi wanaoteseka sana wenye magonjwa ya kila aina, kama madonda maumivu ya mifupa kupoteza meno,kumbukumbu kupotea na kutoona vizuri.
Magonjwa hayo yamekuwa ya kawaida na yanaoneka kila mahali.michanganyiko hiyo ya madawa hayo inafaida kidogo katika tiba kuliko madhara yake.
Ambapo magonjwa hayo yanayo tibiwa na dawa hizo yangeweza kutibiwa hata kwa kufunga tu.
Madawa haya kama yanavyoonekana katiaka soko na matangazo yao mazuri kama yanalivyo lakini huua mamilioni wakati huo yanaweza kutibu mmoja tu.
ITAENDELEA
Prepared by Golden gate sanitarium clini
Under Dr. Ritchard kavishe
Hotline 715-030961/0787-030961 /0756-098022
Email goldgatesanitarium@gmail.com

No comments
Post a Comment