leo katika michezo ya soka barani ulaya kuna mechi kali nyingi lakini zaidi ya yote kuna mechi tatu kali zilizotazamiwa kwa kuwa ngumu na matokeo yake yamepatikana kwa baadhi ya mechi ikiwemo arsenal iliyochapwa na Man United kwa goli tatu kwa mbili.
mechi ya liverpool vs man city inaendelea ikiwa mapumziko na timu zote zikiwa sare je zitamaliza hivyo?
muda wa masaa mawili yajayo kuna mechi nyingine kati ya Fc Barcelona dhidi ya Sevilla nako huko mambo ni mazito licha ya kwamba wengi wanaipa ushindi Barcelona...
hivi ni vikosi vya klabu zote vitakavyoshuka dimbani muda si mrefu sana..
KIKOSI CHA FC BARCELONA
Claudio Bravo
Gerard Pique
Daniel Alves
Javier Mascherano
Jordi Alba
Ivan Rakitic
Arda Turan
Sergi Roberto
Luis Suarez
Lionel Messi
Neymar
Kocha: Luis Enrique
KIKOSI CHA SEVILLA SC
Sergio Rico Gonzalez
Benoit Tremoulinas
Adil Rami
Coke
Federico Fazio
Michael Krohn-Dehli
Sebastian Cristoforo
Steven Nzonzi
Vitolo
Yevheniy Konoplyanka
Kevin Gameiro
Kocha: Unai Emery
No comments
Post a Comment