Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » TANZIA - CAMEROUN YAPATA MSIBA MWINGINE NDANI YA UWANJA WA SOKA HUU UMETOKEA JANA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

kumbukumbu ya  kifo cha mchezaji wa kimataifa wa timu ya taifa ya Cameroon na klabu ya Uingereza ya Mancherster City Marc-Vivien Foé, kilichotokea uwanjani katika pambano la Kombe la Mabara baina ya taifa lake na Colombia, tukio hilo lilitokea jijini Lyon, nchini Ufaransa miaka 13 hivi iliyopita inaweza kukumbukwa tena miongozi mwa wanasoka duniani baada ya tukio la jana nchini cameroun.

Marc-Vivien Foe alianguka uwanjani wakati timu yake ya taifa la Cameroon ilipokuwa ikichuana na Colombia mechi za kombe ya mabara katika uwanja wa Gerland unaotumiwa na klabu ya Lion nchini Ufaransa wakati mechi hiyo ilikuwa katika kipindi cha pili kwenye dakika ya 72 na ndipo mchewzaji huyo alianguka na kugeuza macho.

Ma dactari waliokuwepo uwanjawani walijaribu kuuamsha moyo wake wakiwa uwanjani bila mafaanikio, na ndipo kuamua  kumpeleka katika kituo cha matibabu, lakini juhudi zote hizo hazikufua dafu kwani mchezaji huyo alifari dunia, na kuzua simanzi kubwa kwa wapenzi wa soko duniani.
Ma dactari walihusisha kifo chake na mshtuko wa moyo uliotokea ghafla akiwa uwanjani.

lakini tukio kama hilo limetokea katika ardhi ya Romania ambapo Mchezaji wa timu ya taifa ya Cameroon Patrick Ekeng ( 26) amefariki dunia jana akitokea benchi na timu yake ya Dinamo Bucharest nchini Romania . 

Patrick aliingia kipindi cha pili akicheza kama kiungo wa chini lakini ghafla dakika ya 70 akiwa peke yake alianguka ghafla na kufariki . 

Patrick aliyejiunga na timu hiyo january hii ametonesha msiba wa taifa hilo , Africa na familia ya wapenda soka duniani kukumbuka kifo kama hicho cha gwiji la soka Marc Vivien Foe mwaka 2003 ambaye naye alifariki uwanjani ghafla na akicheza nafasi hiyo hiyo. 

Jiji la Younde na viunga vyake limezizima kwa huzuni kubwa . 

Mungu akupumzishe kwa amani Patrick Ekeng - mpiganaji

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / TANZIA - CAMEROUN YAPATA MSIBA MWINGINE NDANI YA UWANJA WA SOKA HUU UMETOKEA JANA

No comments :