Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MBOWE AFIKISHWA POLISI KWA MAHOJIANO, TUNDU LISU NAYE NDANI,....LOWASSA MH!!!!!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia  na Maendelea (Chadema), Freeman Mbowe  leo july 31 amewasili makao makuu ya jeshi la polisi kuitikia wito wa kuhojiwa na jeshi hilo huku hali ya  usalama ukiwa imeimarishwa   kabla na baada ya Mbowe kuwasili .
 
Mbowe akiwa na msafara wa magari nane walikutana na ulinzi huo mkali ambapo  magari ya Mbowe na Wakili Peter Kibatala ambaye alikuwa na Tundu Lissu ndio yaliruhusiwa kuingia.

Gari la Edward Lowassa na viongozi wengine wamezuiwa kwenye geti la kuingia kituoni hapo ambapo geti hilo limezibwa na gari la maji ya kuwasha ili kutoruhusu gari yoyote kutoka au kuingia

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MBOWE AFIKISHWA POLISI KWA MAHOJIANO, TUNDU LISU NAYE NDANI,....LOWASSA MH!!!!!!

No comments :