Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SAFARI YA MAISHA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

“mwanangu samwel, mimi baba yako nakutakia safari njema pia naomba uwe makini na usome kwa bidii maana una mzigo mkubwa sana mbele ya safari kama mtoto wa kiume” aliongea baba yake samwel huku akimkazia macho mwanaye.
Baada ya kimya cha muda mfupi aliendelea“ mwanangu mimi na mama yako tunakupenda sana na siri ya kukupenda ipo mioyoni mwetu, na kwa kuwa sasa umekua ni vema tukakupa siri ya kukupenda sana samwel, lakini siri hii utaipata mara tu baada ya kukamilisha masomo yako ya chuo kikuu, sisi tukutakie masomo mema” Alimaliza baba samwel na kumtakia usiku mwema.
Maneno yale yalimpa mawazo usiku kucha samwel na kumfanya sasa kukishughulisha kichwa chake kufikiri kila mara pasipo kupata jibu la moja kwa moja, kuna wakati alihisi wakati akizaliwa kulikuwa kuna matatizo katika suala la afya yake, au pengine alikuwa na matatizo mengine tu katika makuzi yake, hakujua na alijikuta akitamani kumaliza chuo siku hiyo hiyo ili aambiwe siri hiyo.
FUATILIA KATIKA "kazenzele1 blog" kuanzia juma lijalo, ni zaidi ya Riwaya...Mtunzi: Denice Denis Kazenzele Baba Arvin

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SAFARI YA MAISHA

No comments :