Walemavu wa macho wa kituo cha matembe bora Buigili katika picha ya pamoja |
Viongozi wa madhehebu ya dini akiwemo naibu waziri ofosi ya waziri mkuu kazi, ajira na vijana Anthony Mavunde watatu kutoka kushoto waliokaa |
Baadhi ya viongozi wa dini wakiwa katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma |
Baadhi ya waumini wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea uwanjani {Jamhuri Stadium Dodoma} |
Mheshimiwa Anthony Mavunde akisalimiana na mwenyekiti wa umoja wa madhehebu dodoma Dr. Damas Mukasa |
naibu waziri ofosi ya waziri mkuu kazi, ajira na vijana Anthony Mavunde watatu kutoka kushoto waliokaa akiwa pamoj ana Viongozi wa madhehebu ya dini |
No comments
Post a Comment