Baadhi ya ripoti kutoka Nigeria zinasema kuwa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amehamishiwa sehemu isiyojulikana nchini humo.
Baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii imeripoti leo Alfajiri kwamba kiongozi huyo wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria akiwa na mke wake wamechukuliwa sehemu waliyokuwa wakizuiliwa na askari usalama wa nchi hiyo na kupelekwa kusikojulikana. Habari hiyo imethibitishwa pia na Ibrahim Musa, msemaji wa harakati hiyo ya Kiislamu ambaye ameitahadharisha serikali ya Nigeria akisisitiza kuwa itabeba jukumu la jambo lolote litakalomfika kiongozi huyo wa Harakati ya Kiislamu.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments
Post a Comment