Leicester City imeongeza pointi sita juu ya mstari wa kushuka daraja, baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya West Ham United.
Alikuwa Slimani ambaye awali mpira alioupiga kwa kichwa uliishia kugonga mwamba, ndite aliyeifunga goli pekee akiunganisha mpira wa krosi nzuri ya Marc Albrighton.
![]() |
Slimani akiwa juu baada ya kupiga kichwa mpira ambao ulienda kujaa wavuni |
Wakati huo huo Andre Gray amekuwa mchezaji wa kwanza wa Burnley kufunga magoli matatu 'hat-trick' katika ligi kuu ya Uingereza wakati wakiibuka na ushindi wa magoli 4-1 dhidi ya Sunderland.
No comments
Post a Comment