Mshambuliaji Anthony Martial na kiungo Paul Pogba wamefunga magoli ya dakika za mwisho wakati Manchester United ikipata ushindi wanaostahili ddhidi ya Middlesbrough.
Mabchester wakiwa nyumbani katika dimba la Old Trafford walijikuta wakiwa nyuma baada Grant Leadbitter kuipatia Middlesbrough goli la kuongoza.
Wakati muda ukielekea kuyoyoma Mfaransa Martial alifunga goli katika dakika ya 85 na kufuatiwa na goli la pili lililofungwa na Mfaransa Pogba kwa mpira wa kichwa.
No comments
Post a Comment