Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HAJI MANARA HURU KUENDELEA NA MAJUKMU YAKE SIMBA SC, KAMATI YA NIDHAMU TFF YATOA BARAKA
«
Next
MAMIA WAOGELEA WAKIWA UTUPU FINLAND KUVUNJA REKODI MAMIA WAOGELEA WAKIWA UTUPU FINLAND KUVUNJA REKODI
»
Previous
TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 17.07.2017, CHELSEA WANA WIKI MOJA TU KWA AUBAMEYANG TETESI ZA SOKA ULAYA JUMATATU 17.07.2017, CHELSEA WANA WIKI MOJA TU KWA AUBAMEYANG

Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imemuachia huru Mkuu wa Kitengo cha Habari wa klabu ya Simba Haji Manara kuendelea na majukumu yake kama kawaida.

Hayo yameweka wazi na Mwenyekiti wa Kamati ya nidhamu Abasi Tarimba katika mkutano wake na waandishi wa habari mchana wa leo.

Manara alifungiwa na Shirikisho hilo baada ya kubainika utovu wa nidhamu wa kutoa matamshi yasiyo na  staha kwa viongozi wa TFF pamoja na vyombo vya uongozi wa mchezo huo ambapo alihukumiwa muda wa miezi 12 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi milioni tisa adhabu iliyotolewa na Makamu  Mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya TFF Wakili msomi Jerome.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

No comments

/ / HAJI MANARA HURU KUENDELEA NA MAJUKMU YAKE SIMBA SC, KAMATI YA NIDHAMU TFF YATOA BARAKA

No comments :