Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MTARO WA KUPITISHIA MAJI MACHAFU KUZIBA KWA KUZIDIWA MAGANDA YA MIWAA.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Baadhi ya watu wanaonekana wakikusanyia takataka za maganda ya miwa kwenye mtaro unakatisha katika soko la miembeni mjini Dodoma hali ambayo ni hatari kwa mtaro huo kuziba na kusababisha maji ya mvua zinazokaria kuanza mjini humo kutwama.

Maji machafu ambayo yamekuwa yakitolewa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma ya General yametuama kutokana na ubovu wa miundombinu uliopo katika mtaro unayatililisha maji hayo katika eneo la soko la Miembeni mjini humo

PICHA NA JOHN BANDA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MTARO WA KUPITISHIA MAJI MACHAFU KUZIBA KWA KUZIDIWA MAGANDA YA MIWAA.

No comments :