Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AUAWA INDIA KISA KUDHANIWA ANA NYAMA YA NG'OMBE NYUMBANI MWAKE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Polisi nchini India wamewatia mbaroni watu sita baada ya mwanamume mmoja Muislamu kupigwa hadi kufa kufuatia uvumi kuwa familia yake imeficha nyama nyumbani kwao.

Mohammed Akhlaq alikokotwa kutoka nyumbani kwake Kaskazini mwa Uttar Pradesh na kushambuliwa na umati wa watu.

Mwanawe pia alijeruhiwa vibaya.

Kuchinja ngombe ni haramu maeneo mengi ya India ambapo wakaazi wake wengi ni Wahindu wanaoamini mnyama huyo ni mtakatifu.
Hivi majuzi Serikali ya chama cha Wahindu chenye mrengo wa kulia kimeweka sheria kali zinazopiga marufuku uchinjaji wa ngombe, uuzaji wa nyama na ulaji wake.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AUAWA INDIA KISA KUDHANIWA ANA NYAMA YA NG'OMBE NYUMBANI MWAKE

No comments :