Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA [CPC] CHAFANYA MKUTANO NA WADAU KUHUSU UCHAGUZI, AMBAPO UCHAGUZI HURU NA HAKI BILA WAANDISHI WANAOZINGATIA MAADILI NI NDOTO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mkuu wa mkoa wa Dodoma Luteni Mstaafuu Chiku Gallawa akifanunua jambo alipokuwa akifungua mkutano wa chama cha waandishi wa habari na wadau mbalimbali mjini humo.

Mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoani Dodoma Habel Chidawal akizungumza jambo kabla ya kumkaribisha Mkuu wa mkoa kufungua mkutano huo.
Mwandishi wa kituo cha chanel ten  Kuringe Mongi akitoa mada kuhusu Mahusiano kati ya waandishi wa habari na wadau mbalimbali vikiwemo vyama siasa, wagombea, jeshi la polisi na wasimamizi wa uchaguzi tunapoelekea uchaguzi mkuu.
 
Mwandishi wa TBC IDD Maalimu akitoa mada kuhusu maadili ya waandishi wa habari katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CPC Rachel Chibwete akimshukuru mkuu wa mkoa mara baada ya kumaliza kufungua mkutano huo.
 
wadau wakibadilishana mawazo na mkuu wa mkoa

Wadau na waandishi wa habari wakiwa katika ukumbi kwa ajili ya mkutano huo.

PICHA ZOTE NA JOHN BANDA

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI DODOMA [CPC] CHAFANYA MKUTANO NA WADAU KUHUSU UCHAGUZI, AMBAPO UCHAGUZI HURU NA HAKI BILA WAANDISHI WANAOZINGATIA MAADILI NI NDOTO

No comments :