Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KOCHA MPYA LIVERPOOL HUYU HAPA, ATAVIWEZA VIATU VYA BENITEZ VILIVYOWASHINDA WENGI? PHOTOZ!!
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ikiwa zimepita zaidi ya siku kadhaa toka klabu ya Liverpool ya Uingereza imfukuze kazi aliyekuwa kocha wa klabu hiyo Brendan Rodgers, kulikuwa na stori za makocha kadhaa kurithi nafasi hiyo kabla ya Al Hamis ya October 8 uongozi wa klabu hiyo ulithibitisha kuwa kocha mpya wa klabu hiyo ni Jurgen Klopp.

Jurgen Klopp amethibitishwa kujiunga na klabu ya Liverpool kama kocha mpya na kurithi mikoba ya Brendan Rodgers aliyetimuliwa kazi jumapili ya October 4 baada ya kutoka sare na wapinzani wao wa jadi EvertonJurgen Klopp anajiunga na Liverpool kwa mkataba wa miaka mitatu, mkataba ambao una kipengele cha kuongeza mwaka mmoja zaidi.
 
John Lennon akiwasli Hotelini
Kocha huyo anajiunga na Liverpool baada ya kuwa hana timu toka mwishoni mwa msimu uliomalizika aondoke katika klabu ya Borussia Dortmund na kukaa bila timu. Hata hivyo Jurgen Klopp ameweka rekodi ya kuwa kocha wa kwanza wa kijerumani kuifundisha Liverpool na kuwa kocha wa pili wa kijerumani katika Ligi Kuu Uingereza.

Klabu ya Liverpool toka imeanzishwa imewahi kufundishwa na makocha 19 na sasa Jurgen Klopp ana ongezeka na kuwa wa 20. Kocha huyo wa kijerumani atatambulishwa rasmi mbele ya waandishi wa habari Ijumaa ya October 9 katika mkutano na waandishi wa habari.

Jurgen Klopp baada ya kutua uwanja wa ndege jijini Liverpool akisindikizwa na John Lennon

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KOCHA MPYA LIVERPOOL HUYU HAPA, ATAVIWEZA VIATU VYA BENITEZ VILIVYOWASHINDA WENGI? PHOTOZ!!

No comments :