Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MANENO YA SIR FERGUSON DHIDI YA ARSENAE MENGER
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Licha ya uhasimu wao mkubwa enzi zake akiwa kocha wa Manchester United, Sir Alex Ferguson amempongeza Arsene Wenger kwa kuendelea kubaki kuwa meneja wa Arsenal kwa kipindi kirefu.
 
Wenger ambaye siku za hivi karibuni, amekuwa katikacpresha kubwa kutoka kwa mashabiki kutokana na kutofanya usajili wa uhakika na vile vile kukosa kombe la EPL tangu mwaka 2004.
Lakini Ferguson anaona dhahiri shahiri kuwa kutakuwa na tatizo kubwa pale Arsene Wenger atakapoondoka klabuni hapo, kama ilivyotokea kwa Manchester United.
 
 Arsene Wenger

Sir Alex Ferguson (kulia) na Arsene Wenger.

Aliiambia ESPN kuwa: 'Ni kama ilivyotokea kwangu endapo nisingeweza kuisogeza mbele klabu baada ya timu ya mwaka '94 ama '99, pengine ningepata tatizo kama alilonalo Arsene, lakini hata hivyo bado ameendelea kushikilia misimamo yake, amebaki na kile anachokiamini.
 
'Wkati wote ambao presha hii inatokea - huwa nawaambia marafiki zanguu wachache kwamba- hivi watampata nani ambaye ataweza kumrithi Arsene Wenger, uanjua, ni nani watampata ambaye atakuwa bora zaidi ya Arsene Wenger? 
 
'Na ndiyo maana hawamfukuzi, ndiyo maana wameendeka kubaki naye.'

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MANENO YA SIR FERGUSON DHIDI YA ARSENAE MENGER

No comments :