Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » STARS YAVUKA ROUND YA PILI KULIFUATA KOMBE LA DUNIA URUSI 2018
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Pamoja na kufungwa bao 1-0 na Malawi, timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeafanikiwa kufuzu raundi ya pili ya michuano ya kufuzu kombe la dunia, mchezo uliopigwa katika dimba la uwanja wa Kamuzubanda, Blantyre nchini Malawi.
 
Katika mchezo huo ambao uliojawa hisia ya aina yake wenyeji Malawi walijipatia goli lao kunako dakika ya 42 ya mchezo likiwekwa kimiani na John Banda ambaye aliupiga kwa umahiri mkubwa mpira wa kuzungusha na kumgonga beki wa Stars na kutinga moja moja wavuni mwa Stars na kumwacha Ali Mustapha akiruka bila ya mafanikio.
 
Hata hivyo, pamoja na matokeo hayo, Taifa Stars imefanikiwa kusonga mbele baada ya ushindi walioupita kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam wa mabao 2-0.
 
Stars inapita kwa jumla ya mabao 2-1 na inatarajiwa kukutana na miamba ya soka ya kaskazini mwa bara la Afrika, Algeria.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / STARS YAVUKA ROUND YA PILI KULIFUATA KOMBE LA DUNIA URUSI 2018

No comments :