Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MORGAN HERITAG EWALIVYOIDANGANYA EAST AFRICA, CCM YAHUSIKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 hii ni hatari sasa, kama huna taarifa naomba nikujuze kuwa kundi maarufu la rege la Morgan Heritage limeamua kuwaingiza chaka wakenya katika mtandao wa kijamii baada ya kutumia picha ya mkutano wa chama cha mapinduzi kama watu waliohudhuria katika show yao iliyofanyoka nchini humo.

mmoja kati ya member wa kundi hilo "Grampa Morgan " alipost kwenye ukurasa wake akiwashukuru wakeny akwa kufika katika show hiyo y aoktoba 3 jijini nairobi , lakini watanzania na wakenya wenyewe wakaugundua mchongo huo licha ya baadhi yao kuamini kweli ulikuwa ni umati wa waliohudhuria show ile.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MORGAN HERITAG EWALIVYOIDANGANYA EAST AFRICA, CCM YAHUSIKA

No comments :