Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NAIGERIA YASITISHA MCHANGO WAKE ECOWAS
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jumuiya ya Uchumi ya Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) inakabiliwa na hatari ya kuporomoka, baada ya Nigeria kusimamisha utoaji wa mchango na ada zake kwa jumuiya hiyo.

Serikali ya Nigeria imesema haitatoa mchango wowote kwa jumuiya hiyo ya kiuchumi kutokana na limbikizi la madeni la nchi wanachama wengine wa jumuiya hiyo.

Jumuiya ya ECOWAS yenye makao yake makuu mjini Abuja nchini Nigeria, hutegemea pakubwa mchango wa nchi za Ivory Coast, Ghana na Nigeria.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NAIGERIA YASITISHA MCHANGO WAKE ECOWAS

No comments :