Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RANI MUKERJI ATEMA DILI KISA UJAUZITO SHRUTI HAASAN ANAWEZA KUCHUKUA ULAJI..
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rani Mukerji

Rani Mukerji, anayetegemewa kupata mtoto wake wa kwanza hivi karibuni pamoja na mwenza wake ambaye ni  filmmaker Aditya Chopra . 
Rani Mukerji na Pamela Chopra

kulikuwa na taarifa kwamba Pamela Chopra mama mkwe wake Rani Mukerji anatamani na shauku kuona kwamba mkwe wake anajifungua salama mtoto. 

Rani,ambaye kwa mara ya mwisho alionekana katika kazi ya 'Mardaani' alitarajiwa kufanya kazi na brand ya cola brand kwa ajili ya matangazo. 

Hata hivyo kutokana na hali yake ya ujauzito ,Rani Mukerji ameamua kutosaini deal hilo...umeripoti mtandao wa dnaindia.com. 

Shruti Haasan, ambaye hivi karibuni alifanya kazi ya 'Welcome Back' amepigiwa chapuo kusaini deal hilo report hiyo imebainisha hilo.
Pamela Chopra, mke wa marehemu Yash Chopra na mama yake Aditya Chopra, anafuraha kiasi cha kushindwa kuielezea. 

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RANI MUKERJI ATEMA DILI KISA UJAUZITO SHRUTI HAASAN ANAWEZA KUCHUKUA ULAJI..

No comments :