Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ARPITA KHAN KATUPILIA MBALI TETESI ZA KAKA YAKE SALMAN KHAN KUMVALISHA PETE MTANGAZAJI WA KIROMANIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

dada yake Salman Khan aitwaye  Arpita Khan Sharma amepinga report zilizotolewa kuwa kaka yake amemvisha pete ya uchumba mtangazaji wa televisheni moja huko nchini Romania Lulia Vantur. 

kulikuwa na report iliyodai kuwa wawili hao walivalishana pete hiyo kwa siri na kwamba ndoa itafuata muda mchache mwakani.

Arpita alichukua muda wake katika mtandao waTwitter kukanusha maneno ya watu akiandikwa hivi kwa lugha ya kiingereza  "Do not believe everything you read in the papers or on different websites online... Really ya what rubbish do these people keep carrying,"hivo ndivyo alivyoandika.
hata hivyo salman khan ameongea yake kuhusiana na mahusiano yake na kusema kwamba anayo mawazo juu ya mwenza wake wa maisha.

 Salman Khan na Sonam Kapoor hivi karibuni walionekana pamoja katika kaver moja la magazine na pia katika magazine hiyo hiyo khan  alizungumzia suala la mahusiano kwenye iterview na juu ya yeye kutaka mwenza wake wa maisha.

alipoulizwa juu y akukataa madai ya kuvalishana pete na mromania Salman khan amesema kwamba masuala hayo yameshakuwa ni ya kizamani ambapo hata hawezi kukumbuka.

pia amedai kuwa amekuwa akivutiwa na watu wengi sana na kwake yeye jinsi anavyojihusisha na watu tofauti hapa duniani ni bora zaidi mara mia moja kuliko nguzu ya mapenzi.

ametetea pointi yake hiyo kwa kudai kwamba mapenzi yapo tangu zamani na ni maneno mengine ambayo yanaweza kuhitajika kwa wengi.

hata hivyo amewakumbusha wapenzi wake wa filamu kwamba mtu mmoja anaweza kuwa na bahati ya kukutanishwa na mwingine yeyote aliye mwema kwake wakati waliobaki wanabaki kusubiri wake waliopangiwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ARPITA KHAN KATUPILIA MBALI TETESI ZA KAKA YAKE SALMAN KHAN KUMVALISHA PETE MTANGAZAJI WA KIROMANIA

No comments :