Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » VIONGOZI WA KANISA WALIPORA SADAKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mahakama nchini Singapore imewapata na hatia ya ufisadi, viongozi sita wa kanisa kongwe na kubwa zaidi nchini humo.

Muasisi wa kanisa la City Harvest, Kong Hee na watu wengine watano wanadaiwa kuwa waliiba dola milioni 17 hazina ya kanisa.

Yamkini Hee na washirika wake walikuwa wakizitumia pesa hizo kwa harakati zake zilizoshindwa za kumfanya mkewe kuwa nyota wa kimataifa wa nyimbo chapa Pop.
Muasisi wa kanisa la City Harvest, Kong Hee na watu wengine watano wanadaiwa kuwa waliiba dola milioni 17

Dola zingine milioni 19 zilitumika kuficha kile walichofanya.

Viongozi hao wa kanisa hilo wanadai kuwa muziki ulikuwa njia mojawepo ya kuwafikia watu wasio wakristo, lakini mahakama ilikatalia mbali wazo hilo.

Sasa viongozi hao wamo katika hatari ya kufungwa jela maisha.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / VIONGOZI WA KANISA WALIPORA SADAKA

No comments :