Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » URUSI YAANZISHA MASHAMBULIZI YA ANGANI SYRIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ndege za kivita za Urusi zimehujumu kwa mara nyengine tena vituo vya waasi nchini Syria.

Lengo lilikuwa vituo vya wanamgambo wa itikadi kali wa dola ya kiislam-IS-amesema msemaji wa wizara ya ulinzi mjini Moscow.

Urusi imeweka zaidi ya ndege za kivita na helikopta 50 nchini Syria.

Wadadisi wanaituhumu Urusi kuhujumu vituo vya waasi wa kutoka upande wa upinzani wanaofuata msimamo wa wastani.

Moscow lakini inakanusha tuhuma hizo.

Wanaharakati wa Syria wanazungumzia kuhusu hujuma za angani za Urusi katika eneo la kaskazini ya nchi hiyo,karibu na mji wa Idlib.

Urusi imeanza jana hujuma zake za angani kwa lengo la kuwasaidia wanajesahi watiifu kwa rais Bashar al Assad.

Iran imesifu uamuzi huo wa Urusi.

Urusi sawa na jamhuri ya kiislam ya Iran wanamuunga mkono rais Bashar al Asaad.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / URUSI YAANZISHA MASHAMBULIZI YA ANGANI SYRIA

No comments :