Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WAFUNGWA TAKRIBANI 6,000 KUACHIWA HURU MAREKANI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Idara inayohusika na Masuala ya Sheria Marekani iko kwenye mpango wa kurekebisha Sheria pamoja na kuwaachia huru wafungwa 6,000 baada ya Magereza mengi ya nchi hiyo kuonekana kufurika Wafungwa kwa sasa !!

Moja ya sababu ambazo zimetajwa kuchangia Magereza mengi kujaa ni ishu ya Sheria kali zilizowekwa Marekani kwa Watuhumiwa wa Kesi za dawa za kulevya.

Kwenye idadi hiyo ya Wafungwa watakaoachiwa wengi wao ni wenye Kesi za Dawa za Kulevya na hata kabla ya kuachiwa pia kuna vitu vingi vitaangaliwa kuhusu usalama wa maisha ya watu wengine nje baada ya Watuhumiwa hao kuachiwa.

Wafungwa hao wataanza kuachiwa kuanzia October 30 mpaka November 02 2015… Mpaka mwisho wa mwaka 2014 Takwimu zinaonesha kulikuwa na Jumla ya Wafungwa Milioni 1.56 kwenye Magereza ya Marekani, huku Takwimu nyingine zikionesha Marekani ina Magereza mengi zaidi kuliko idadi ya Vyuo vilivyopo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WAFUNGWA TAKRIBANI 6,000 KUACHIWA HURU MAREKANI

No comments :