Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WATANZANIA WALIOPOTEZA MAISHA SASA WAFIKIA 22 SAUDI ARABIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Idadi ya raia wa Tanzania waliofariki katika mkanyagano wakiwa katika ibada ya Hajj nchini Saudi Arabia mwezi uliopita imeongezeka na kufikia 22,kulingana na waziri wa maswala ya kigeni.

Mwandishi wa BBC Leonard Mubali anasema kuwa mahujaji wengine 38 kutoka Tanzania hawajulikani waliko.

Serikali ya Saudia imesema kuwa takriban watu 769 walifariki katika mkanyagano ,ijapokuwa maafisa kutoka mataifa wanayotoka mahujaji waliofariki wanasema kuwa idadi hiyo ni watu 1,480.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WATANZANIA WALIOPOTEZA MAISHA SASA WAFIKIA 22 SAUDI ARABIA

No comments :