Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » WATU HAWA NI MAARUFU KWA KUTOBADILISHA MAVAZI YAO, YUMO RAIS BARACK OBAMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Unaweza kumuona Rais Barack Obama kwenye suti moja au ya aina moja kila wakati, hapendi kubadilisha?

Marehemu Boss wa Apple Inc, Steve Jobs nae yumo kwenye list… ana sababu yoyote?
Mwingine ni jamaa Boss wa Facebook, Mark Zuckerberg… kila ukimuona ni kama anakuwa na T-shirt moja tu, unakumbuka alichokijibu alipoulizwa?

Hawa watatu wana sababu za kutobadili aina ya  mavazi yao....

 Mwaka 2012 Rais Barack Obama aliwahi kujibu sababu iliyomfanya mara nyingi aonekane kwenye suti za rangi na aina moja >> “Sipendi kuamua kuhusu nini nitakula au nini nitavaa… nina mambo mengi zaidi ya kuyafanyia maamuzi kuliko hayo“>>>

 Marehemu Steve Jobs.. Huyu ni mmoja wa waanzilishi wa Kampuni ya Apple Inc ya Marekani, yeye pia kwenye mavazi yake mara nyingi alionekana na masweta ya rangi nyeusi. Sababu yake pia kuonekana hivyo inatajwa kuwa ni ileile ya uvivu wa kufanya maamuzi mapya ya nguo ya kuvaa kila wakati.

Mark Zuckerberg, Boss wa Facebook nae anaonekana mara nyingi na T-Shirt ya Rangi ya kijivu, ndio anayoipendelea zaidi na alipoulizwa alijibu >>> “Natakiwa nifanye maamuzi machache na ya msingi zaidi kwa ajili ya maisha yangu na kuisaidia jamii yangu“>>> maana yake ni kwamba kwenye maamuzi yake, ishu ya kubadilisha nguo haipo kwenye hesabu zake kabisa, anazo T-shirt nyingi za kijivu na ndio alizoamua kuzivaa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / WATU HAWA NI MAARUFU KWA KUTOBADILISHA MAVAZI YAO, YUMO RAIS BARACK OBAMA

No comments :