Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » YANGA KAMA ULAYA!!! 4-1 IMEWATOSH AWATOTO WAO KUTOKA MWANZA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Simon Msuva (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake Donald Ngoma (kushoto) na Amis Tambwe (katikati)

Baad ya kulazimishwa sare ya kufungana kwa goli 1-1 na Azam FC, Yanga wameendeleza wimbi lao la ushindi kwa kuitandika timu ya Toto Africans ya jijini Mwanza kwa goli 4-1 kwenye mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa taifa.
 
Beki wa kulia wa Yanga Juma Abdul aliifungia Yanga goli la kuongoza dakika ya tisa kipindi cha kwanza kwa kupiga shuti akiwa nje ya eneo la hatari na mpira huo kujaa moja kwa moja wavuni.
 
Goli hilo lilidumu kwa kipindi chote cha kwanza ambapo Toto Africa walionekana kuzidiwa kwa kiasi kikubwa kwenye eneo lao la katikati.
 
Yanga walirudi kipindi cha pili wakiwa wamecharuka na kuongeza goli la pili dakika ya 48 mfungaji akiwa ni Simon Msuva. Wakati dakika zikiwa zinayoyoma, mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi Amis Tambwe akaifungia Yanga goli la tatu dakika ya 81.
 
Wakati dakika zikiwa zinakaribia kumalizika, Simon Msuva alifunga bao la nne lakini likiwa ni goli la pili kwa upande wake na kuifanya Yanga iondoke uwanjani kwa ushindi wa goli 4-1.
 
Golikipa wa Toto Africans Mussa Mohamed alidaka penati iliyopigwa na mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma baada ya beki wa Toto kuunawa mpira kwenye eneo la hatari akiwa katika harakati za kuokoa hatari kwenye lango lao.
 
Goli pekee la kufutia machozi kwa upande wa Toto Africans limefungwa na Miraji Athumani kipindi cha pili.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / YANGA KAMA ULAYA!!! 4-1 IMEWATOSH AWATOTO WAO KUTOKA MWANZA

No comments :