Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAAD AYA KUCHUNGUZWA HAPO JANA LEO WAMETIMULIWA WENGINE WATATU WATIMULIWA TRA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

baada ya kusimamishwa kazi kwa Kamishna Mkuu wa TRA pamoja na maofisa wengine hapo jana leo zipo taarifa nyingine kuhusu wengine watatu kusimamishwa kutoka hapohapo Mamlaka ya Mapato TRA.
 
Majina ya waliosimamishwa leo ni Anangisye Mtafya, Nsajigwa Mwandengele na Robert Nyoni… agizo la kusimamishwa kwao limetoka kwa Waziri Mkuu ambae amenukuliwa na blog ya Issa Michuzi kuhusu uamuzi huo >>> “Kazi ya kuwachunguza ilianza jana ileile na sasa tumeona hawa watu wanapaswa kuwa nje ya utumishi ili kupisha uchunguzi ufanyike kwa uhuru zaidi” >>> Waziri Mkuu Majaliwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAAD AYA KUCHUNGUZWA HAPO JANA LEO WAMETIMULIWA WENGINE WATATU WATIMULIWA TRA

No comments :