Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » PAPA FRANCIS AWASILI UGANDA, MAPOKEZI YAKUTOSHA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis amewasili nchini Uganda kwenye sehemu ya pili ya ziara yake Afrika.
Papa amelakiwa katika uwanja wa ndege wa Entebbe na Rais wa Uganda Yoweri Museveni.

Baadaye, Papa anatarajiwa kuelekea ikulu ya Rais mjini Entebbe, kisha ahutubie maafisa wa serikali na mabalozi humo ikuluni.
Baadaye atawahutubia walimu.

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir pia yumo nchini Uganda kukutana na Papa Francis.

Mwandishi wa BBC Catherine Byaruhanga anasema Vatican imevutiwa na ukosefu wa usalama pamoja na uhusiano kati ya Sudan na Sudan Kusini.

Wawili hao watakutana katika ikulu ya rais wa Uganda mjini Entebbe.

Papa Francis atakuwa Uganda hadi asubuhi ya Novemba 29. Bofya hapa kupata ratiba kamili ya ziara yake.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / PAPA FRANCIS AWASILI UGANDA, MAPOKEZI YAKUTOSHA KATIKA UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE

No comments :