Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » BAADA YA NASEEB ABDUL {DIAMOND PLATNUMZ} NI ZAMU YA WEMA KUWA NA FOLLOWERS WENG INSTAGRAM...IDADI KAMILI IKO HAPA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Ikiwa ni siku chache baada ya mwimbaji Diamond Platnumz kuwa msanii wa kwanza wa bongo fleva kuwa na wafuasi milioni 1 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, mwigizaji Wema Sepetu ameiandika rekodi kwa kuwa staa wa pili Tanzania kufikisha followers milioni moja.

Huku Tanzania ikitajwa kuwa ya kwanza kwa utumiaji wa mtandao wa Instagram Africa, mastaa wengine wenye followers wengi ni pamoja na Vanessa Mdee mwenye zaidi ya laki nane na elfu 40, Jokate mwenye zaidi ya laki nane na elfu sitini na Ommy Dimpoz mwenye zaidi ya laki saba.

  #wema sepetu#

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / BAADA YA NASEEB ABDUL {DIAMOND PLATNUMZ} NI ZAMU YA WEMA KUWA NA FOLLOWERS WENG INSTAGRAM...IDADI KAMILI IKO HAPA

No comments :