Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KIJANA MWINGEREZA ATUPWA JELA WIKI SITA KISA KUPIGA PICHA KATIKATI YA BARABARA YA MAGARI YA MASHINDANO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kijana raia wa Uingereza ambaye aliingia katika njia ya magari yakiwa kasi Mahakama ya Singapore imemtupa jela wiki sita jela.

Kijana Yogvitam Pravin Dhokia, mwenye miaka 27, aliingilia njia ya mbio za magari ili achukue picha. Alifanya tendo hilo mwezi septemba wakati wa Singapore Grand Prix.

Kijana huyo alikubali kosa hilo alilolifanya katikati ya njia ya magari ya Fomula 1 ambayo yalikuwa yanakimbia kwa kasi ya 280km/h (175mph).

Akitangaza hukumu hiyo, Jaji Chay Yuen Fatt alisema, kuingilia kokote njia ya magari kunaweza na kungeweza kusababisha ajali mbaya.

Mwanasheria aliyekuwa anamtetea kijana huyo aliiambia mahakama kuwamteja wake hakuwa na leo la kuingilia mashindano lakini anakubali kubwa tendo lake lilikuwa la kitoto.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KIJANA MWINGEREZA ATUPWA JELA WIKI SITA KISA KUPIGA PICHA KATIKATI YA BARABARA YA MAGARI YA MASHINDANO

No comments :