Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HII HAPA LIST YA WABUNGE 256 WA MAGUFULI WANAOSUBIRI KUAPISHWA DODOMA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli tayari ameapishwa na kuanza kazi… kwa upande wa Wabunge wenyewe bado.

Kinachosubiriwa ni kuitishwa kwa Bunge la 11 ambapo Spika Mteule pamoja na Wabunge wote wataapishwa… kingine kitakachofanyika ni uthibitisho wa jina la Waziri Mkuu, uchaguzi wa Naibu Spika na ufunguzi rasmi wa Bunge la 11.

Kulikuwa na stori nyingi sana wakati wa mchakato mzima wa Uchaguzi Mkuu ikiwemo matokeo kukataliwa na baadhi ya Wagombea, kwingine Uchaguzi haukufanyika kabisa, kwingine uchaguzi ulisogezwa mbele kwa sababu mbalimbali. 

Lakini mpaka leo November 11 2015 hapa ninayo majina ya Wabunge 256 ambayo Tume ya Uchaguzi NEC imeyathibitisha kwamba wamepita kwenye Uchaguzi na wanasubiri kuapishwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HII HAPA LIST YA WABUNGE 256 WA MAGUFULI WANAOSUBIRI KUAPISHWA DODOMA

No comments :