Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KISA MATOLA,SIMBA SC WALAZIMIKA KUFANYA KIKAO CHA DHARULA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kamati ya utendaji ya Simba itafanya kikao cha dharura, leo.

Kikao hicho cha dharura kinafanyika baada ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola.
Matola ameachia ngazi baada ya kuelezwa kwamba hakuwa akielewana na Kocha Mkuu, Dylan Kerr.
“Kweli kutakuwa na kikao cha kamati ya utendaji kuhusiana na suala hilo,” chanzo kilieleza.

Kikao hicho kitamjumuisha Rais wa Simba, Evans Aveva na taarifa za ndani zimeelza suala la kujadili atakayechukua mikoba ya Matola litachukua nafasi kubwa.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KISA MATOLA,SIMBA SC WALAZIMIKA KUFANYA KIKAO CHA DHARULA

No comments :