Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA: KIPUTE CHA UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE TANZANIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania {Dodoma}

Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza kikao chake leo kwa wabunge wateule kupiga kura ya kumchagua spika wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa miaka mitano ya uongozi mpya matokeo yanayotarajiwa kutolewa hivi punde.

Hili ni jengo la Spika wa Bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania lililopo mkoani Dodoma

Wabunge wote wamejinadi mbele ya wabunge wa jamhuri ya muungano wa Tanzania mkoani hapa,huku mmoja wa wagombea huyo Mh. Hashim Rungwe hakuweza kuonekana wakati wa kujinadi na hivyo kumlazimu mwenyekiti wa kikao hicho akitumia kanuni kuruhusu mchakazo huo kuendelea.

Sehemu ya mbele ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania 
Wagombea wanane waliwania kiti cha spika akiwemo aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge la kumi ambaye ni mgombea wa Chama cha Mapinduzi CCM na mpinzani wake mkubwa anatarajia kuwa mgombea wa Chadema Bwana Goodluck Ole Medei.

Wengine ni waliokuwa wanawania kiti hicho ni pamoja na Peter Sarungi(AFP),Hassan Kisabiya (N.R.A),Dkt Godfrey Malisa (CCK),Job Ndugai (CCM),Goodluck Ole Medeye (CHADEMA), Richard Lymo (T.L.P),Hashimu Rungwe (CHAUMA) na Robert Kisinini kutoka DP.

Imehaririwa na Denis kazenzele

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE DODOMA: KIPUTE CHA UCHAGUZI WA SPIKA WA BUNGE TANZANIA

No comments :