Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » » MANENO YA KIJANA MJEMA NA COMENTS ZA WATU WAKE MTANDAONI KUHUSU TB JOSHUA NA STAILI YA UINGIAJI PASI VIATU MIGUUNI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mtazame vizuri TB Joshua miguumi, amekanyaga Ardhi ya Tanzania akiwa PEKU miguuni, wasomaji wa Biblia wataelewa maana yake ni nini kwa mtumishi wa Mungu kama huyu kutembea peku katika Ardhi ya Tanzania. 
 
Naiona Tanzania katika sura mpya ya Neema na yenye matumaini makubwa kwa watu wake, endapo tu, tutasimama vizuri na Mungu wetu. 

Unapaswa uwe mtu wa Rohoni ili kuelewa nini maana ya TB Joshua kutembea peku Tanzania.

Coments za wasomaji baadhi
Comments
Mosses Samwel
Mosses Samwel Maana yake nini mjema nifungue kidogo
Like · Reply · 1 · 4 hrs
Samwel R Mbugi
Samwel R Mbugi kaka mjema mimi sijaelewa kabisa kuhusiana na tukio hilo la mtumishi kama huyo kutembea peku je maana yake nini?
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Hassan Nganzo
Hassan Nganzo Sio peku maana kavaa soksi
Samwel R Mbugi
Samwel R Mbugi kaka ni kweli sio peku kavaa soksi, mbona wenzake wamevaa viatu?????@Hassan
Denis Kazenzele
Write a reply...
Rehema Edson
Rehema Edson Hajatembea.peku mbona pic imeonyesha kavaa soks sasa peku ni nini hapo achen tafsili zenu za ajabu ajabu hamchelewi kusema fremasoon khaaaa labda anakidonda akivaa kiatu kinamuumiza mwachen Mungu mwenyewe ndio ajuaye hati ya kila kitu hema za Mungu tofaut na mwanadam
Like · Reply · 1 · 3 hrs
Mac Tweve
Mac Tweve Mjema hii inaweza ikawa hali ya hatari kumbuka nabii akirarua vazi lake nini kitatokea hebu tukae rohoni kwanza maana haya mambo yapo kiroho zaidi msilichukulie kitoto
Like · Reply · 1 hr
Yohana Mlimaji
Yohana Mlimaji duuuuu mnafatilia wadau mi cikuliona hilo
Like · Reply · 1 hr
Noel Kalonga
Noel Kalonga Kaniambia tb joshua akikaa muda mrefu wakati anasafiri miguu inavimba. Au unasemaje bwana ng'anzo? Teh teh teh teh!
Like · Reply · 1 hr
Denis Kazenzele
Write a comment...

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / / MANENO YA KIJANA MJEMA NA COMENTS ZA WATU WAKE MTANDAONI KUHUSU TB JOSHUA NA STAILI YA UINGIAJI PASI VIATU MIGUUNI

No comments :