Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » NJIA YA DK TULIA KUELEKEA UNAIBU SPIKA HII HAPA {PICHAZ!!!!!}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

 Dk. Tulia Ackson amepita bila kupingwa baada ya kuchaguliwa na wabunge wa CCM kugombea nafasi ya Unaibu Spika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiongea wakati wa kuendesha zoezi la kumpata Naibu Spika  kwenye ukumbi wa NEC, CCM Makao Makuu mjini Dodoma.

Mmoja wa wagombea wa nafasi ya Unaibu spika Bahati Abeid akizungumza mbele ya wabunge wa CCM.

 Mhe. Mariam Kisangi akizungumza mbele ya wabunge wa CCM kwenye ukumbi wa NEC mjini Dodoma ambapo yeye pamoja na Bahati Abeid walijitoa na kumpa nafasi Dk.Tulia Ackson kupita bila kupingwa

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / NJIA YA DK TULIA KUELEKEA UNAIBU SPIKA HII HAPA {PICHAZ!!!!!}

No comments :