Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » SEVEN O'CLOCK ILIVYOICHANGANYA STARS HUKO ALGERIA...MICHEZO MINGINE MATOKEO YAPI HAPA..KONGO,NIGERIA GHANA,UGANDA NA MISRI ZASONGA MBELE
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Michezo ya raundi ya pili ya kusaka tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia nchini Urusi 2018 kwa ukanda wa Afrika, ilichezwa jana huku timu za Tanzania, Kenya na Rwanda zikishindwa mechi zao.

Tanzania wakicheza ugenini dhidi ya Algeria walikubali kichapo cha mabao 7-0 na kufuta kabisa ndoto yao ya kusonga mbele.

Timu ya taifa ya Kenya Harambee Star nao wakalala kwa kufungwa mabao 2-0 na Cape Verde.

Rwanda wakicheza katika uwanja wao wa nyumbani wakafungwa na Libya kwa mabao 3-1.
Matokeo mengine ya mechi zilizochezwa Jumanne ni kama ifuatavyo:

Cameroon 0-0 Niger

Congo 2-1 Ethiopia

Nigeria 2-0 Swaziland

Ghana 2-0 Comoro

Misri 4-0 Chad

Ivory Coast 3-0 Liberia

Tunisia 2-1 Mauritania

Afrika Kusini 1-0 Angola

Burkina Faso 2-0 Benin

Senegal 3-0 Madagascar

Mali 2-0 Botswana

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / SEVEN O'CLOCK ILIVYOICHANGANYA STARS HUKO ALGERIA...MICHEZO MINGINE MATOKEO YAPI HAPA..KONGO,NIGERIA GHANA,UGANDA NA MISRI ZASONGA MBELE

No comments :