Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » RAIS WA UTURUKI AIONYA URUSI JUU YA TAIFA LAKE KUILIPUA KWA NDEGE NA MATAMSHI YA PUTIN
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemuonya mwenzake wa Urusi Vladimir Putin 'kutocheza na moto' kuhusu swala la taifa lake kuidungua ndege ya kijeshi ya Urusi.
Bwana Erdogan pia amesema kuwa anataka kukutana na bwana Putin ana kwa ana katika mazungumzo ya mabadiliko ya hali ya hewa ili kusuluhisha mzozo huo.

Urusi imeamua kusitisha mpango wa kusafiri bila viza miongoni mwa raia wa mataifa hayo mawili kwa mujibu wa waziri wa maswala ya kigeni nchini humo.

Uturuki inasema kuwa ndege hiyo ilikuwa katika anga yake ilipolengwa,lakini Urusi inasema kuwa ilikuwa katika anga ya Syria.

''Ningependa kukutana na bwana Putin ana kwa ana mjini Paris'',alisema bwana Erdogan katika hotuba yake katika runinga.

''Ningependa kusuluhisha tatizo hili.Inaudhi kuona kwamba swala hili limeongezewa chumvi''.
Bwana Putin anataka kuombwa msamaha na Uturuki kabla ya kuzungumza na Erdogan ,msaidizi wa rais huyo amesema.

Mgogoro kati ya Urusi na uturuki kufuatia kuduguliwa kwa ndege ya Urusi na Uturuki
               
Lakini pia amesema kuwa Uturuki haitaki kuharibu uhusiano wake na Urusi.
 
Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov ameonya kuwa kisa hicho kinaweza kuathiri maslahi ya Uturuki.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / RAIS WA UTURUKI AIONYA URUSI JUU YA TAIFA LAKE KUILIPUA KWA NDEGE NA MATAMSHI YA PUTIN

No comments :