Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » REKODI!!! SAMATA AIBUKA MFALME WA MABAO AFRIKA TP MAZEMBE IKITWAA BINGWA AFRIKA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Klabu ya soka ya TP Mazembe, ya Jamuhuri ya Kidemocrasia ya Congo imeutwaa ubingwa wa klabu bingwa barani Afrika.

Tp Mazembe wakicheza kwao katika uwanja wa Stade du TP Mazembe Lubumbashi, waliibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi Union Sportive Medina d’Alger.

Mshambuliaji Mbwana Samatta ndiye aliyeanza kuifungia timu yake bao la kwanza kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 75 ya mchezo, kisha Roger Assale akahitimisha kazi kwa baoa la pili katika dakia ya 90.

Mazembe imenyakua Ubingwa huu wa Afrika, ikiwa ni mara yao ya 5, kwa Jumla ya Mabao 4-1 baada ya kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mechezo wa fainali ya kwanza iliyoafanyika wiki iliyopita.

Bao la Samatta katika mchezo huo, limemfanya afikishe Bao 7 Msimu huu na kuibuka ndie Mfungaji Bora wa Michuano hii.

Baada ya kutwaa Taji hili, TP Mazembe wamezoa Donge la Dola Milioni 1.5 na pia wataiwakilisha Afrika kwenye Mashindano ya FIFA ya Klabu Bingwa Duniani huko Japan Mwezi Desemba.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / REKODI!!! SAMATA AIBUKA MFALME WA MABAO AFRIKA TP MAZEMBE IKITWAA BINGWA AFRIKA

No comments :