Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » UN YATAKA KUACHILIWA HURU KWA WALIOTEKWA LIBYA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mratibu wa Umoja wa Kimataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Libya, Ali Al-Za'tari, amelaani kuendelea kutekwa kwa wahudumu wawili wa kibinadamu Kusini mwa nchi hiyo na kutoa wito waachiliwe huru mara moja bila masharti yoyote.

Bwana Al-Za'tari ameonya kuwa uwezo wa kufikisha misaada muhimu kwa wenye uhitaji Kusini mwa Libya unaathiriwa na vitisho kwa wahudumu wa kibinadamu.

Aidha, ameeleza wasiwasi wake kuhusu mazingira mabaya wanamozuiliwa wahudumu hao waliotekwa tangu tarehe 5 Juni, 2015 kule al-Shwayrif kusini mwa Libya, wakiwa njiani kupeleka misaada kusini magharibi mwa nchi.

Wahudumu hao wawili, Bwana Mohamed al-Monsef Ali al-Sha'lali na Bwana Walid Ramadan Salhub, ni wafanyakazi wa shirika la kibinadamu la Tahir Azzawy, ambalo husaidia mashirika kadhaa ya kimataifa katika kutekeleza majukumu yao.

 Picha:UN Photo/Iason Foounten

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / UN YATAKA KUACHILIWA HURU KWA WALIOTEKWA LIBYA

No comments :