Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » ABIRIA ZAIDI YA 300 WANUSURIKA KATIKA AJALI YA MELI YA ROYAL ILIYOKUWA INATOKA UNGUJA KWENDA PEMBA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Sehemu ilishika moto katika meli ya Royal. 

 Zaidi ya abiria 300 wamenusurika baada ya moto kuwaka katika chumba cha injini ya meli ya Royal iliyokuwa ikitoka Unguja kwenda Pemba hii leo. 

Taarifa kutoka visiwani Zanzibar zinasema kuwa, baada ya kutokea hitilafu hiyo ya moto, bahati nzuri meli ya Serengeti iliyokuwa inatokea Pemba kwenda Unguja ilipofika eneo la tukio ilitoa msaada ikiwa ni pamoja na kuwahamisha abiria toka meli hiyo ya Royal.  

Taarifa zaidi zinasema kuwa, wakati tukio hilo linatokea, meli hiyo ya Royal ilikuwa na abiria wapatao 374, watu wazima wakiwa ni 300 na watoto 74.

 Abiria wakipatiwa msaada wa kuokolewa kutoka meli ya Royal kuhamishiwa Mv Serengeti

  Meli ya Royal ikivutwa na meli ya Mv Serengeti

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / ABIRIA ZAIDI YA 300 WANUSURIKA KATIKA AJALI YA MELI YA ROYAL ILIYOKUWA INATOKA UNGUJA KWENDA PEMBA

No comments :