Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MANENO YA WADAU WA WHATSAPP BAADA YA KUFUNGIWA BRAZIL
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Mtandao wa WhatsApp umekamata sana sasahivi kutokana na watu wengi kupendelea kuutumia mtandao huo, inakuwaje una smartphone yako alafu unazuiwa kutumia WhatsApp ?!! Brazil imewakuta hiyo.

Ishu ilianza hivi, Mahakama ya Brazil iliagiza wamiliki wa mtandao huo kuwapa nafasi ya kuweza kuingilia na kupekua taarifa za kila mtumiaji wa mtandao wa WhatsApp aliyepo Brazil, lakini wamiliki hao hawakuwa tayari kuingia masuala ya mawasiliano ya mtu binafsi, wakapingana na maagizo hayo.

agizo likatolewa na Mahakama kwamba mtandao huo ufungwe kwa saa 48, maana yake ni kwamba watu wote wa Brazil kuanzia jana hawakuwa na mawasiliano ya WhatsApp.

Lakini mbali ya watu wengi kukosoa uamuzi huo, Boss wa Facebook ambae ndiye mmiliki wa WhatsApp pia, Mark Zuckerberg alilaani kitendo hcho kwa kuandika haya >>> ‘Nashtushwa kwamba jitihada zetu kulinda siri za watu kutapelekea Jaji mmoja kuamua maamuzi haya mabaya kuadhibu kila mtu aliye ndani ya Brazil anayetumia WhatsApp‘- Mark Zuckerberg.

 Lakini baadae, Zuckerberg alipost pia ujumbe kwenye ukurasa wake Facebook kushukuru baada ya watumiaji wa WhatsApp kurudishwa tena hewani.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MANENO YA WADAU WA WHATSAPP BAADA YA KUFUNGIWA BRAZIL

No comments :