Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AJAZA WATU AKIMTUHUMU MUMEWE KUWAGEUZA WANAE MISUKULE..........
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

TAHARUKI imezuka katika kijiji cha Lusisi Wilayani Wanging'ombe mkoani Njombe baada ya mwananuke mmoja kumtuhumu mumewe kuwatoa msukule watoto wake kitu kilicho ibua hisia za wakazi wa kijiji hicho na kufurika katika nyumba za familia hiyo.

Tukio hilo limetokea juzi kijijini hapo baada ya Lubeni Mgaya kutuhumiwa kuwauwa kwa njia za kishurikina watoto wake wawili na kuwafanya Misukule tuhuma zilizo tolewa na mkewe ailye fahamika kwa jina la Anna Kilipamwambu na kusababisha watu kujaa kutaka kushuhudia misukule hiyo.

Jeshi la pilisi mkoani Njombe baada ya kupata taarifa hizo lilipiga kambi katika kijiji hicho ili kujiridhisha na tuhuma hizo zilizo mwangukia mwanaume kutoka kwa mkewe.

Akizungumzia uchunguzi uliofanywa na jeshi hilo kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Wilbroard Mutafungwa amesema kuwa jeshi hilo limebaini kuwa watoto wanao daiwa kuwa walikufa na kuchukuliwa misukule kutoka kwa familia hiyo walikufa vifo vya kawaida kwa kuwa waliugua na hatimaye kufariki.

Hivyo kamanda wa polisi ametoa wito kwa wakazi wa mkoa wa Njombe kuachana na kufuatilia masuala ya kishirikina na kuwa kipindi hiki ni msimu wa kilimo hivyo wajikite kwenye kilimo kwa maendeleo yao.

Mwandishi: John Banda

mhariri: Denice J Kazenzele

february 11/2016 [Alhamis]

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AJAZA WATU AKIMTUHUMU MUMEWE KUWAGEUZA WANAE MISUKULE..........

No comments :