Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » USIKU WA MIKITO YA PWANI INAKUJIA MARCH 4/2016,ROYAL VILLAGE NDIO MPANGO......KIINGILIO INGIA HAPA UJIONEE WEPESIIIIIIIIIIII........KWA UDHAMINI WA RASI FM RADIO...103.7
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Kama hutajali basi unapaswa kuandaa Ratiba yako Vizuri alafu siku ya tarehe 04/march/2016 tukutane pale Royal Village kwa kiingilio cha Buku 7 tu ukinunua tiketi yako katika maeneo utakayopewa hapo baadae na endapo utasubiri siku ya show basi jiandalie kamnyama tu yaanu Buku ten mlangoni kish azama ndani ambako huko utakutana na kundi zima la OGOPA KOPA CLASSIC BAND..

Utakutana Live na Hadija kopa,Mtoto wa malkia {Black Kopa,Shadya Shombe shombe,Mwamvita Shaibu,Hanifa Maurid, Hassan Ally na wengineo wengi.....
lakini kwa wale ambao pengine mlimmiss Msaga Sumuuuuu, basi tunakuletea katika USIKU WA MIKITO YA PWANI.......

Kwa wanataarabu najua mnampata KICHUNA MTOTO WA MORO, BAASI USIJALI.....RASI FM RADIO, wanakuja kulidhamini hili Show la wanadodoma..............................

USISAHAU!!!! ni royal village kuanzia saa mbili za usiku na vidoti doti vigii mpaka kuku dume apige kelele....kwa kinauli chako tu cha mnyama mlangoni au vituo vya mtaani utakavyoelekezwa basi ni buku saba tu....

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / USIKU WA MIKITO YA PWANI INAKUJIA MARCH 4/2016,ROYAL VILLAGE NDIO MPANGO......KIINGILIO INGIA HAPA UJIONEE WEPESIIIIIIIIIIII........KWA UDHAMINI WA RASI FM RADIO...103.7

No comments :