Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HATARI:. WAFUNGWA WA KIKE MAREKANI HUNYANYASHWA KINGONO
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Wafungwa 6 wa kike wanaoshikiliwa katika jela ya mji wa New York nchini Marekani wamewasilisha mashtaka ya kufanyiwa ukatili wa kijinsia na maafisa wa jela hiyo.

Wahanga hao wa unyanyasaji wa kingono katika jela ya New York wamewasilisha mashtaka yao katika Mahakama ya Federali ya Manhattan wakisema kuwa maafisa wa jela hiyo wamekuwa wakifumbia jicho unyanyasaji wa kingono wanaofanyika katika jela hiyo. 

Wamesema kuwa kila mara wanapowasilisha mashtaka na kufanyiwa ukatili wa kingono wamekuwa wakikabiliwa na mashinikizo makubwa zaidi.

Wiki iliyopita pia afisa wa polisi ya jimbo la Oklahoma nchini Marekani alihukumiwa kifungo cha miaka 263 ambacho ndicho kifungo cha juu zaidi nchini humo baada ya kupatikana na hatia ya kubaka wanawake kadhaa akiwa kazini.

Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International pia imelalamikia ukiukwaki wa haki za binadamu unaofanyika nchini Marekani kama mateso yanayofanywa na maafisa wa shirika la ujasusi la nchi hiyo CIA dhidi ya mahabusu waliokamatwa kinyume cha sheria na utumiaji wa mabavu wa polisi ya nchi hiyo.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HATARI:. WAFUNGWA WA KIKE MAREKANI HUNYANYASHWA KINGONO

No comments :