Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » KUTANA NA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ANAYEKUJA NA ALBAMU YA KUTOA SOMO KWENU WATANZANIA.....SUBIRA MWIKWABI
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Albamu inakwenda kwa jina la BWANA SEMA NENO ni ya muimbaji mahili kwa sasa anajulikana kwa jina la Subira Mwikwabi.ipo yupo studio leo akitambulisha albamu hii kwako msikilizaji wa Super unday ya RASI FM RADIO, kipindi hiki huanza majira ya saa saba kamili mchana hadi tisa za alasiri...ukiwa upo maeneo ya Dodoma,Singida,Kilindi {tanga},Iringa, Gairo,Kiteto,na maeneo mengineyo inaposikika basi fungulia 103.7 mhz upate kuyafahamu mengi aliyonayo, upo naye Ipyana Stephen Mwakasindile.

picha zaidi akiwa Studio za Rasi Fm katika interview ya kwanza ndani ya dodoma

Ipyana Steven mtangazaji wa kipindi cha Super Sunday akiwa katika mitambo akiitangaza injili kwa njia ya utangazaji.

Msanii wa nyimbo za Injili Subira Mwikwabi

NYOMBO HIZI NDIZO ZINAZOPATIKANA KATIKA ALBAMU HII:.

1.Sema neno
2.Baraka
3. Hunifanya niwe
4.Ee Mungu Nirehemu
5.Mimi ni wathamani
6.Muujiza wa Bwana
7.Ndoa
8.Nikulipe nini

Mwimbaji: Subira Mwikwabi
Dodoma Tanzania
producer .E Kameta

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / KUTANA NA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ANAYEKUJA NA ALBAMU YA KUTOA SOMO KWENU WATANZANIA.....SUBIRA MWIKWABI

No comments :