Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » HILI SONG JIPYA LA NEY WA MITEGO KUFUNGIWA NA BASATA??? SIO MBAYA UPO YOU TUBE NA KWENYE CD'S " NI KWELI HAUFAI" VIPI BASATA WANAUTARATIBU GANI? {AUDIOZ!!!!!!!}
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Na: Nasri Bakari

Ingekuwa ni kutumia misemo tungeanza na "wamechukua tena", "kama kawa kama dawa", "kama kenya", hivyo hivyo" nakadhalika... lakini kwa upande huu hakuna haja ya misemo zaidi ya kusema kuwa naye kafuata mkono wa Roma Mkatoliki.
Baraza la Sanaa nchini (BASATA) limeufungia wimbo wa Ney wamitego unaoitwa 'shika adabu yako' kutokana na matumizi ya lugha ndani ya wimbo huo. 
Akiongea na kituo kimoja maarufu cha redio,katibu mkuu mtendaji wa baraza hilo amesema ni wimbo ambao haufai na anashindwa kumpima Ney ana akili za namna gani.

"Kitu ambacho hakifai kwenye jamii sio mpaka litolewe tamko kwamba wimbo umefungiwa, ni wimbo ambao haufai hata wanajamii wameona haufai, nadhani mtu mwenye akili timamu kiujumla anajua, najua kwenye media hauwezi kupigwa”

Wimbo  huo mpya kutoka kwa Ney wa Mitego ulisika Live kwa mara ya kwanza kupitia kipindi cha XXL.

Katika wimbo huo uitwao 'Shika AdabuYako', Ney amewaumbua kwa kuwataja majina wasanii na watu maarufu nchini akianika ubovu wa matendo yao na kuwataka wabadilike.

Pia katika wimbo amewaimba baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwakuwaita ni msumeno usiokata na kazi yao ni kufungia nyimbo ilhali hawajui shida wanayopata na kama wangekuwa watoto angewachumia  fimbo.

Pia hakumuacha nyuma Magufuli na serikali yake kwa kusema amezoea wasanii ndio watu wanapenda umaarufu lakini safari hii ligi ya umaarufu ipo kwenye serikali kwa kila kiongozi kuwa na mwandishi kisha kushindana magazetini.

===Soma hapa ===== Mashairi =====

Bongo Movie imekufa wamebaki kuuza sura
Wote wanataka kuimba ka Shilole na Snura
Ray Kigosi kawa mkongo hadi leo anaishi kwao
Hela za kuuza movie zote ananunua mkorogo
Kama niumri umeshaenda, au bado anajiona dogo?

Kama nivumbi litaruka na mikia watafyata
Hizi taarifa zangu naziwafikie BASATA
Nyie ni kuku au bata? Msumeno usiokata
Kazi kufungia nyimbo, mnajua shida tunazopata?
Hamjui wajibu wenu, mngekuwa watoto nshawachapa

Na wasanii wadananda, ila Shetta kazidi
Huyo ndo baba Qaila (okay!)
Gari kapewa na Chief Kiumbe utasikia, “my new ride!”

Huyu jamaa anajiitaDimpoz, Poz kwa Poz
Wanae wanalalamika hawamjui shemeji
Kitaani kuna tetesi mwana hapigi mechi
Mara oh jogoo hawiki, huwa haonyeshi shemeji

DJ Choka daily bata, hivi hauna familia?
Nasikia hata nyumbani huna godoro la kulalia

Wema Sepetu una mimba kweli, au ndo kiki za msimu?
Miezi tisa sio mingi, isije ikakugharimu
Na siku hazigandi tayari ushaku wa bibi
Na unakoelekea utatafuta kiki hadi kwa Fid

>>>>Wimbo wenyewe audio unaweza kuusikiliza hapa then jiulize alistahili au hakustaili kufunguwa?????

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / HILI SONG JIPYA LA NEY WA MITEGO KUFUNGIWA NA BASATA??? SIO MBAYA UPO YOU TUBE NA KWENYE CD'S " NI KWELI HAUFAI" VIPI BASATA WANAUTARATIBU GANI? {AUDIOZ!!!!!!!}

No comments :