Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » AUSTRALIA WAIKAMATA SHEHENA YA SILAHA SOMALIA
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Jeshi la wanamaji wa Australia limekamata boti moja katika pwani ya Oman ambayo haikujulikana inakotoka.
Ilisemekana ni boti la uvuvi lakini walipofanya upekuzi,wakagundua shehena kubwa ya silaha ambazo wanashuku zilikuwa zinapelekwa Somalia.
Miongozni mwa silaha hizo ni magruneti na bunduki zaidi ya 2,000 za AK 47 bunduki aina za rashasha mbali na bunduki zenye nguvu.
Shehena hiyo ya silaha ilikuwa imefichwa chini ya neti za uvuvi.
Majeshi ya wanamaji wa Australia ni mojawapo ya majeshi ya kimataifa wenye meli zinazoshika doria kwenye bahari kuu na wanamamlaka ya kukamata silaha zinazopelekwa Somalia.
Je boti hiyo ilikuwa ya akina nani hasa, taarifa hizo hazijawekwa bayana hadi sasa.
Licha ya marufuku ya Umoja wa mataifa kuzuia kununua ama kuuzwa kwa silaha nchini Somalia ,Umoja huo huwa unairuhusu serikali ya taifa hilo lililosakamwa na vit katika upembe mwa Afrika kununua silaha ndogo ndogo kwa nia ya kuisaidia kujihami dhidi ya makabiliano na kundi la Al Shaabab na kulinda usalama wa raia nchini.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / AUSTRALIA WAIKAMATA SHEHENA YA SILAHA SOMALIA

No comments :