Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MAJIBIZANO Y AMAREKANI NA KAMPUNI YA APPLE DHIDI YA MUUAJI YA WATU.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Majibizano makali yameendelea kati ya serikali ya Marekani na kampuni ya Teknolojia ya Apple, baada ya kampuni hiyo kukataa kusaidia kufungua simu ya mmoja wa washambuliaji waliowauawa watu kwa kuwapiga risasi mwezi Disemba.
Idara ya sheria iliwasilisha ombi mahakamani ikisema simu ya mshambuliaji huyo huenda ina ushahidi kuhusu shambulio hilo.
Pia idara hiyo imelaumu Apple kwa kuwa na ukaidi.
Kampuni hiyo imejitetea na kusema shirika la ujasusi la FBI linatumia njia za mkato ili kuweza kudukua simu zote kwa kutumia kisingizio cha simu moja.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MAJIBIZANO Y AMAREKANI NA KAMPUNI YA APPLE DHIDI YA MUUAJI YA WATU.

No comments :