Select Menu

function googleTranslateEl

HABARI KIMATAIFA

HABARI KITAIFA

Performance

Cute

My Place

MICHEZO

Racing

Videos

» » MESSI NA ROHO YA MASIA, BAADA YA KUWAZA MEMA NA MABAYA.....
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

Hivi majuzi alituma jezi yake yenye namba 10 mgongoni na jina lake la Lionel Messi kwa mtoto wa kipakistani aliyepigwa picha wiki chache zilizopita akiwa na jezi ya mfuko wa nairoi ikiwa na jina na namba yake.

Kama ulikuwa unadhani kuwa messi anaweza kuwa na roho ya ujivuni au mbaya kutokana na umaarufu wake pamoja na mafanikio, basi umefeli.Star huyu ana roho ya huruma na upendo kuliko unavyoweza kudhania.

kama utakuwa unakumbuka vizuri wakati wa michuano ya Klabu bingwa dunia mwezi disemba mwaka jana , star wa barca na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi alionesha kiwango cha hali ya juu na kuleta maana halisi ya yeye kuitwa star, lakini nyuma ya mlango wa sebuleni {nyuma ya pazia}kuna mvuto wa ajabu ambao ulitokea pasi watazamaji kuelewa.

Siku ya fainali Barcelona ilicheza dhidi ya River Plate ,dakika kadhaa baada ya mechi kuanza messi alipiga shuti ambalo kipa wa River Plate Marcelo Barovero alilidaka lakini baada ya kulidaka alianguka chini, Messi alimfuata na kumnyanyua , lakini wakati anamnyanyua kuna neno kipa huyo alimwambia messi na star huyo alionekana kucheka tu.

lakini sasa katika mahojiano ya hivi karibuni kipa huyo anasema wakati messi anamnyanyua alimwambia "nimetimiza moja ya ndoto ya mtoto wangu wa kiume , nilimwambia nitadaka shuti la messi akacheka tu".

Baadae Messi alifunga goli moja na Barcelona kuibuka na magoli matatu kwa bila ,Barovero akamfuata Messi na kumuomba jezi,akamwambia tayari kuna mchezaji alishaiomba jezi ile.wakapeana mikono na kila mtu akachukua hamsini zake.

wakiwa katika chumba cha kubadilishia nguo ,Messi alimfuata Barovero na kumkabidhi viatu alivyotumia katika mechi hiyo kisha akawambia "hii ni zawadi kwa mtoto wako" kipa huyo alishangaa na kufurahi sana.

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments

/ / MESSI NA ROHO YA MASIA, BAADA YA KUWAZA MEMA NA MABAYA.....

No comments :